MKUU WA CHUO CHA TANGA TECHNICAL INSTITUTE (TTI) KILICHOPO JIJINI TANGA, MKABALA NA SOKO LA TANGAMANO, NYUMA YA KANISA LA KILUTHERI KANA (KITUO CHA ZAMANI CHA SEKOMU) ANAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MWEZI MARCH, 2021 KATIKA FANI ZIFUATAZO
ASTASHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA (BASICTECHNICIAN CERTIFICATE IN BUSINESS ADMINISTRATION)
Sifa za kujiunga:
Alama nne za ufaulu katika kiwango cha D au zaidi Kidato cha Nne kwa masomo ambayo siyo ya dini. Kati hizo D nne mojawapo iwe ni ya Hisabati
ASTASHAHADA YA UHASIBU NA FEDHA (BASICTECHNICIAN CERTIFICATE IN ACCOUNTING AND FINANCE)
Sifa za Kujiunga:
Alama nne za ufaulu katika kiwango cha D au zaidi Kidato cha Nne kwa masomo ambayo siyo ya dini. Kati hizo D nne mojawapo iwe ni ya Hisabati, Commerce au Book-keeping
ASTASHAHADA YA UNUNUZI NA UGAVI (BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PROCUREMENT AND SUPPLY)
Sifa za kujiunga:
Alama nne za ufaulu katika kiwango cha D au zaidi kidato cha Nne kwa masomo ambayo siyo ya dini.
TANGA TECHNICAL TANGA TECHNICAL TANGA TECHNICAL TANGA TECHNICAL TANGA TECHNICALTANGA TECHNICAL INSTITUTE INSTITUTE
(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY) (LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)(LEARNING IN SERVICE TO HUMANITY)
P. O. Box P. O. Box 470, Tanga, 70, Tanga, 70, Tanga, TanzanTanzan TanzanTanzan ia Tel +255Tel +255Tel +255 689 488 887
E-mail: admin@tti.ac.tzmail: admin@tti.ac.tz mail: admin@tti.ac.tz mail: admin@tti.ac.tzmail: admin@tti.ac.tzmail: admin@tti.ac.tzmail: admin@tti.ac.tz mail: admin@tti.ac.tz mail: admin@tti.ac.tz Website: Website: Website: Website: www.tti.ac.tz www.tti.ac.tz www.tti.ac.tz www.tti.ac.tz www.tti.ac.tz
2
KOZI ZA STASHAHADA (DIPLOMA)
STASHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA
(DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION)
Sifa za kujiunga:
Astashahada ya Uongozi wa Biashara (Basic Technician Certificate in Business Administration) ya ufaulu wa daraja la pili kutoka vyuo au taasisi zinazotambuliwa na NACTE.
Kidato cha Sita ufaulu wa angalau alama ‘E’ moja na Subsidiary moja au angalau ‘C’ tatu za Kidato cha Nne. Mwombaji lazima awe amefaulu somo la Hisabati au Biashara kwa ufaulu angalau alama ‘D’ katika Kidato cha Nne.
Kama ‘E’ ya Kidato cha Sita sio somo la Hisabati au Biashara basi mwombaji angalau awe na ‘C’ katika Kidato cha Nne kwa somo hilo.
STASHAHADA YA UHASIBU NA FEDHA (DIPLOMA IN ACCOUNTANCY AND FINANCE)
Sifa za kujiunga:
Astashahada ya Uhasibu na Fedha (Basic Technician Certificate in Accountancy and Finance) ya ufaulu wa daraja la pili kutoka vyuo au taasisi zinazotambuliwa na NACTE.
Kidato cha Sita ufaulu wa angalau alama ‘E’ moja na Subsidiary moja au angalau ‘C’ tatu za Kidato cha Nne. Mwombaji lazima awe amefaulu somo la Hisabati au Biashara kwa ufaulu angalau alama ‘D’ katika Kidato cha Nne.
Kama ‘E’ ya Kidato cha Sita sio somo la Hisabati au Biashara basi mwombaji angalau awe na alama ‘C’ katika Kidato cha Nne kwa somo hilo.
STASHAHADA YA UNUNUZI NA UGAVI (DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY)
Sifa za kujiunga: i. Astashahada ya Ununuzi na Ugavi (Basic Technician Certificate in Procurement and Supply) ya ufaulu wa daraja la pili kutoka vyuo au taasisi zinazotambuliwa na NACTE. ii. Kidato cha Sita ufaulu wa angalau alama ‘E’ moja na Subsidiary moja au angalau ‘C’ tatu za Kidato cha Nne.

Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni,kwenye tovuti ya Chuo www.tti.ac.tz na sharika zote za KKKT. Kana, Makorora, Kisosora, Mikanjuni, Korogwe,Hale, Handeni, Mombo, Lushoto na nyinginezo
Kwa mawasiliano zaidi piga:
Mkuu wa Chuo -0718 911 334 au 0689 488 887
Msajili – 0716 444 902