MKUU WA CHUO  CHA TANGA TECHNICAL INSTITUTE (TTI) KINACHO MILIKIWA NA DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI KKKT ANAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MWEZI SEPTEMBER ( SEPTEMBER INTAKE), 2020. CHUO KIPO JIJINI TANGA, MKABALA NA SOKO LA TANGAMANO, NYUMA YA KANISA LA KKKT  KANA (BARABARA YA NANE).

KOZI ZINATOLEWA KATIKA FANI ZIFUATAZO

A. KOZI ZA ASTASHAHADA (BASIC CERTIFICATE)

  1. ASTASHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA(BASIC CERTIFICATE IN   BUSINESS ADMINISTRATION) 

Sifa za kujiunga:

Alama za ufaulu katika kiwango cha D nne (4) au zaidiza Kidato cha Nne kwamasomo ambayo siyo ya dini.

  1. ASTASHAHADA YA UHASIBU NA FEDHA(BASIC CERTIFICATE IN ACCOUNTING AND FINANCE)

Sifa za Kujiunga:

Alama zaufaulu katika kiwango cha D nne(4) au zaidi za Kidato cha Nne kwamasomo ambayo siyo ya dini.

 B. KOZI ZA STASHAHADA (DIPLOMA)

  1. STASHAHADA YA UONGOZI WA BIASHARA (DIPLOMA IN BUSINESS ADMINISTRATION) 

 Sifazakujiunga:

i. Astashahada ya Uongozi wa Biashara yaani (Basic Certificate in Business Administration) yakutoka vyuo au taasisi zinazo tambuliwa na NACTE.

ii. Kidato cha Sita ufaulu wa angalau alama ‘E’ mojana Subsidiary moja au zaid.

iii. Kama ‘E’ ya Kidato cha Sita sio somo la Hisabati au Biashara basi mwombaji awe angalau na alama D katika Kidato cha Nne (4) kwasomohilo.

  1. STASHAHADA YA UHASIBU NA FEDHA(DIPLOMA IN ACCOUNTANCY ANDFINANCE)

Sifazakujiunga:

Astashahada ya Uhasibu na Fedha (Basic Certificate in Accountancy and Finance) yakutoka vyuo au taasisi zinazotambuliwa na NACTE.

i. Kidato cha Sita ufaulu waangalau alama ‘E’ mojana Subsidiary moja au zaid.

ii.Kama ‘E’ ya Kidato cha Sita siosomo la Hisabati au Biashara basimwombaji awe angalau na alama ‘D’ katika Kidato cha Nne kwasomo hilo.

Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni na kwenye tovuti ya Chuo www.tti.ac.tz sharika za KKKT Kana, Makorora, Kisosora, Mikanjuni, Korogwe, Mombo, Lushoto,Kange,Handeni,Kowero stationary Handeni, na Manka Restaurant Barabara ya saba Tanga

Kwa mawasiliano zaidi piga:

  1. Mkuu wa Chuo -0718 911 334/0689488887
  2. Msajili – 0716 444 902/0783176000
  3. IT-0764105944/0685570696